Handeni kuna kajoto hapa kwa kweli yale mambo yetu mpka jua lipoe nilikuwa nirudi Dodoma ratiba imebadilika nimekuja tena hukuJumapili ni nzuri kabisa, imeanza kwa baraka nyingi nyingi tu. Habari ya Handeni mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] hasa wanawake kwa viunoo... Ni shidaaaaaa...
Poti potiHahaaa, unapenda kuamkiwa eeh? Summer hii nitakuzukia huko uliko ili nikuamkie LIVE! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
HahahahahaHahahaha salamu ya live hainogi bora ya maandishi
Vivian ,michael ,professor
Gr8Habari za jumapili wadau wa likes
Tamu sanaLikes za jumapili
Huyu jamaa kama messiMohammed Salah
Salaam mzee wa liverHahahahaha
Nadhani umefurahishwa na ule ushindiHahahahaha
Aisee hii jumapili kichwa kinanipasuka kwa kweli, mambo ni mengi na taslimu hamna. Yaani nina shida nayo kinyama...Handeni kuna kajoto hapa kwa kweli yale mambo yetu mpka jua lipoe nilikuwa nirudi Dodoma ratiba imebadilika nimekuja tena huku
Yote katika kutafuta furusa
Jumapili imekaaje mkuu