Salama kabisa mkuuSalaam mzee wa liver
Kabisa mkuu niko happy sanaNadhani umefurahishwa na ule ushindi
Pamoja mkuu uwe na weekend njema sisi watu football hii ni super Sunday kuanzia saa tisa mpka saa tatu ni big mechi tuAisee hii jumapili kichwa kinanipasuka kwa kweli, mambo ni mengi na taslimu hamna. Yaani nina shida nayo kinyama...
Yote kwa yote jua la Dar linachosha,nipo tu home naisindikiza jumapili
Alipelekwa na mke wake kwa Bill baada ya kuwa amefilisika kabisa kwenye biashara ya mafuta baada ya hapo aliwasha moto hatari kwenye biashara na siasa
Yupo kiasili sana huyu binti
Hana shida na uremboo na mambo ya kichinaYupo kiasili sana huyu binti