Mtoto Mashaallah
Dada umekalia Big G....
Hahahahhaa kijana mpole jaman sijui mnatafsiri ngapi hahaAiseee...[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] yaani zile ni za Numbisa huyu huyu ninae mfahamu?
Mwacheni Cole aitwe kijana mpole[emoji120] [emoji120]
Pete, si ya fedha wala si ya dhahabu...jamani pete
Hiyo ya "kijana mpole" tu inatosha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahhaa kijana mpole jaman sijui mnatafsiri ngapi haha
Wacha kabisaAiseee...[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] yaani zile ni za Numbisa huyu huyu ninae mfahamu?
Mwacheni Cole aitwe kijana mpole[emoji120] [emoji120]
Nakumbuka carba alilalamika picha kama hizi anashindwa kufungua huu uzi kwa hofu ya watu wake wakiziona mambo yanaweza kuwa tafrani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pete, si ya fedha wala si ya dhahabu...jamani pete