Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

465c040fb895605de807177e257967f1.jpg
Nyama nyama nyama, nyaama. Nyama ya kuku, nyama....
 
Kuna mtumishi alidadavua hili kwa misingi ya Kibiblia juma lililopita. Matatizo mengi tunayohangaika nayo yamesababishwa na tabia yetu ya kung'ang'ania watu ambao kusema kweli tunapaswa kuwa tulishatenga nao muda mrefu uliopita. Biblia imejaa mifano kedekede.
Kweli mkuu nakubaliana nawe 100%
 
Back
Top Bottom