carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ilikuwa mitaa yangu hiiUhuru street
Hii inaitwa abiria chunga mzigo wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You're breaking my heart
Siku hizi nimepata mbadalaNakumbuka carba alilalamika picha kama hizi anashindwa kufungua huu uzi kwa hofu ya watu wake wakiziona mambo yanaweza kuwa tafrani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku hizi imekuaje? uwe unakuja Keys kupata kitu roho inapenda.Ilikuwa mitaa yangu hii
ahahahhahaEmbu ishia hapo hapo[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Nilikulia hiyo mitaaSiku hazi imekuaje? uwe unakuja Keys kupata kitu roho inapenda.
Aseee kweli wewe ulikuwa jirani yetu kabisa. Si unajua tena Kisarawe Primary, Mchikichini Primary School ni karibu sana na Uhuru Primary.Nilikulia hiyo mitaa
Nimesoma shule ya uhuru
Nimehama sikai hapo siku hizi