Nyama nyama nyama, nyaama. Nyama ya kuku, nyama....
Kuna mtumishi alidadavua hili kwa misingi ya Kibiblia juma lililopita. Matatizo mengi tunayohangaika nayo yamesababishwa na tabia yetu ya kung'ang'ania watu ambao kusema kweli tunapaswa kuwa tulishatenga nao muda mrefu uliopita. Biblia imejaa mifano kedekede.
Nimekaa hapo teh!Aseee kweli wewe ulikuwa jirani yetu kabisa. Si unajua tena Kisarawe Primary, Mchikichini Primary School ni karibu sana na Uhuru Primary.
Indeed[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii inaitwa abiria chunga mzigo wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Jumapili ya burudani kabisa
MoudgulfHeee kisaa,wee mzee usiuvunje moyo wakat bado tunazipenda likes zako
Ila wivu mbaya ujue[emoji23][emoji23]Indeed[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Giving to who? To Gwajima/Kakobe?
Mungu na Anisaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kweli mkuu nakubaliana nawe 100%Kuna mtumishi alidadavua hili kwa misingi ya Kibiblia juma lililopita. Matatizo mengi tunayohangaika nayo yamesababishwa na tabia yetu ya kung'ang'ania watu ambao kusema kweli tunapaswa kuwa tulishatenga nao muda mrefu uliopita. Biblia imejaa mifano kedekede.
HahahahahaIla wivu mbaya ujue[emoji23][emoji23]
Yamemfika hapaaa hahaha mzee wa liver bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]