Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mie sijaelewa Mkuu tatizo ya hizi picha. Na bado kuna watu humu wanaunga mkono ziendelee kuwekwa. Pia MODS kama wangeona tatizo na hizi picha sidhani kama wangekaa kimya muda wote huu bila kutoa onyo au kurusha BAN huku na kule. Hivyo mimi sioni sababu ya kuacha kuendelea kuziweka humu.

Kuna baadhi ya threads humu zinatisha sana kwa yaliyoandikwa au picha zinazowekwa za kutisha, lakini BAK hawezi kuanza kuwajia juu hao wanaoweka threads kama hizo. Hujitahidi sana kuziepuka na ninapozifungua kwa bahati mbaya basi hutoka huko haraka sana bila kuanza kulalama kwani si kila asichokipenda BAK na wengine hawakipendi hivyo ni kuheshimu uhuru na matakwa ya watu hao.

 
Naomba nikuulize Numbisa. Zile picha mbili nilizopost usiku huu wewe huwezi kuvaa vile kama mupenzi anapenda!? Je akiomba picha ya wewe ukiwa umevaa vile utamjia juu?

Mie nipo koromije huku saiv saa sita na dakika 40 mtaa mzima wameshalala kasoro mie tu,wala picha hazihusiki kabisaaa,wacha nilale niote mechi nzima ya man u vs chelsea 2-1
 
Mie nipo koromije huku saiv saa sita na dakika 40 mtaa mzima wameshalala kasoro mie tu,wala picha hazihusiki kabisaaa,wacha nilale niote mechi nzima ya man u vs chelsea 2-1
Afadhali. Nilikuwa tayari kukununia mpaka kesho asubuhi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Lala salama !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…