Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Angalizo zuri. Kuvumiliana ndiyo kumeufikisha huu uzi hapa ulipo. Tusipoteze misingi na uhuru wetu ali mradi hatuvunjiani heshima, undugu na utu tuliojiwekea. Amen !!!
 
Daa, Mkuu! Naona wewe ulikuwa unaanzia, Ushirika Club, baadae unahamia Bilicanas, kabla hujakimbilia YMCA na ikiwezekana usiku huo huo mmoja unamalizia kule kwa Babu Mwakitwange, Rungwe Oceanic! [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani mshua wako alikuwa anakupa stori deep sana. Kwema lakini ndugu?
 
@BAK hizi picha zenu hazina kasoro kwangu hata kidogo.
Nafikiri wakati zilipokuwa zinanipa shida nilisema na huu mjadala sikuuanzisha mimi,mimi niliunga mkono hoja iliyokiwa ikizungumzia utumwaji wa picha hizi midaa ya mchana(maana ilikuwa ikinipa shida kufungua uzi mchana)na mkajitahidi kuzipunguza.
Wakati ule haikuwa deal sana kama kilichotokea jana hapa.

Nashindwa kuelewa kwanini huu mjadala umekuwa mkubwa kiasi hiki.

Humu ndani tuko watu wa aina tofauti hatuwezi pangiana kipi chakutuma na kipi cha kuacha.
Kila mtu afanye kile anaona moyo wake unaridhika nacho.

CHAWAMITA iwe na amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…