Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu umenikumbusha siku yangu ya kwanza niliponunua baisikeli yangu ya Phoenix kwa mara ya kwanza. Usiku nilikuwa naamka kwenda kuiangalia kama bado ipo. Nyie acheni tu jamani. Tumetoka mbali sana !!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Duuu, safi sana ukibahatika kuwa mkuu wa mkoa huu.....[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…