mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha
Hahahahaha
Hahahahaha yaani utataka uendelee kuwa wodini tuMh! Nurse kama huyu unaweza kukataa kama umepona teh the teh
![]()
MatlouDJ John Dillinga ( DJ JD )
HahahahahaDaa, Mkuu! Naona wewe ulikuwa unaanzia, Ushirika Club, baadae unahamia Bilicanas, kabla hujakimbilia YMCA na ikiwezekana usiku huo huo mmoja unamalizia kule kwa Babu Mwakitwange, Rungwe Oceanic! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nesi mpendwa. Sema tu hospitali unayofanyia kazi na roho yangu itapoa [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Mkuu umenikumbusha siku yangu ya kwanza niliponunua baisikeli yangu ya Phoenix kwa mara ya kwanza. Usiku nilikuwa naamka kwenda kuiangalia kama bado ipo. Nyie acheni tu jamani. Tumetoka mbali sana !!!
Na iwe hivyoAngalizo zuri. Kuvumiliana ndiyo kumeufikisha huu uzi hapa ulipo. Tusipoteze misingi na uhuru wetu ali mradi hatuvunjiani heshima, undugu na utu tuliojiwekea. Amen !!!
Good morning carba@BAK hizi picha zenu hazina kasoro kwangu hata kidogo.
Nafikiri wakati zilipokuwa zinanipa shida nilisema na huu mjadala sikuuanzisha mimi,mimi niliunga mkono hoja iliyokiwa ikizungumzia utumwaji wa picha hizi midaa ya mchana(maana ilikuwa ikinipa shida kufungua uzi mchana)na mkajitahidi kuzipunguza.
Wakati ule haikuwa deal sana kama kilichotokea jana hapa.
Nashindwa kuelewa kwanini huu mjadala umekuwa mkubwa kiasi hiki.
Humu ndani tuko watu wa aina tofauti hatuwezi pangiana kipi chakutuma na kipi cha kuacha.
Kila mtu afanye kile anaona moyo wake unaridhika nacho.
CHAWAMITA iwe na amani.
Hahahahaha
HahahahahaAaaa wapi. Mpigaji tu hakuna lolote
Du hatari sana[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
![]()