hahaNikimuonaga Nikiwe kama vile nimekuona sasa leo yale macho ulivyo yatoa nikasema Kanumbisa kana uwawa leo
This made my day
Si unajua kakaako bado?!!!
We all gonna die someday
Bado kabisa si unaona alivyo msumbufuHivi bado hajamaliza?
Mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo, Muksini Rajabu ameahidi kuwa uongozi wake utatekeleza maelekezo yote ya ofisa elimu na kuwasihi wanafunzi hao kuendelea na masomo kujiandaa na mitihani ya majaribio na kitaifa baadaye mwezi Mei wakati suala hilo likitafutiwa ufumbuzi.
Ifikishe hiyo salamu. Ala !!!Sio kwangu weweeeee.... Itikia kwa Numbisa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Tuachane na hii topiki....Mmmh jaman sijui lini ntapata shida shimba anisaidieee
Ila si kuna ndugu wengine jaman utasaidia tu ila mama apumzike kwa aman zaidi
Pimbi alikuwa anawaoa kila siku. Afadhali sasa kabaki na mmoja tu tena wa ukweli [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Hahahahahahahaha siku hizi anaitwa pimbi hahaha