Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani kuna watu hapa duniani wana damu za watu wasio na hatia mpaka basi....
13787712402b5666ee615b070ef4e878.jpg
Inasikitisha sana
 
Haki ya nani we una nyege leo wewe [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Ehee ana nini[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Kiongozi sina mpya zake.

Labda nikuache tu na Vibao vyake.

Scent of attraction ni moja ya VIBAO vyake ninavyovikubali, chini ya AARON HALL unategemea nini tena hapo?

Napenda jinsi PATRA anavyopokezana na AARON HALL.

Kiongozi hii KIBAO ni Hatari sana.

Kiongozi, hii mambo achana nayo kabisa.

Kiongozi, usinipandishe MIZUKA.

Ngoja nikuache kihivi:-

Shuka chini
Hahahahaha weka mambo
 
Una mahojiano muhimu ya kazi umeyapanga. Umejiandaa, unajua taarifa zote za muhimu za kampuni. Katika ulimwengu usio na makosa, afisa uajiri wote ni watu wazuri. Lakini kawaida haipo hivvyo. Unaweza kupata afisa uajiri ambaye ni msumbufu au ni ngumu kumvutia. Afisa uajiri anaetaka utimize sifa ambazo ni ngumu kuwa nazo. Anakuhoji kwa muda mrefu kiasi kwamba inakuwa ngumu kuonyesha ujuzi wako wa kazi. Usikate tamaa, BrighterMonday Tanzania tume orodhesha baadhi ya dondoo zitakazo kusaidia kufaulu usaili huo.
 
Usikubali Kudhalilishwa

Hata kama umekata tamaa kwenye mahojiano, usionyeshe hivyo. Elekeza umakini wako wote kwenye mahojiano. Badilisha kila swali katika fursa ya kuonyesha ujuzi wako. Sisitiza uwezo wako na mafanikio uliyopata. Unaweza kuona kuwa unaonewa lakini pengine kila mwombaji wa kazi alipitia utaratibu huohuo. Jizuie kuanza kujitetea, jibu maswali yote kwa mtazamo mzuri.
 
Mheshimu Afisa Uajiri

Hata unapohisi umeonewa, mheshimu afisa uajiri.Stay positive despite how difficult it may be. Tabasamu na tumia sauti tulivu, hii itaonyesha muonekano mzuri wako kwa afisa uajiri. Utakaposhindwa kutulia na ukaanza kujibu kwa kejeli, basi kuna nafasi kubwa kuwa utaikosa kazi.Kumbuka makampunimengi yanashirikiana, hivyo afisa ajira wako anaweza kua na mahusiano na makampuni mengine ya kuajiri
 
Pia inawezekana kua usaili huo mgumu ni moja ya njia zinazotumiwa na kampuni kuchuja maombi ya kazi. Hii hasa inaweza kuwa kweli kama kampuni hiyo inataka mtu mwenye sifa za kutoa huduma kwa wateja. Mara nyingi kwenye soko “maigizo” haya hutokea kama njia ya kuchuja maombi bila wewe kujua, hivyo kuwa makini.
 
Back
Top Bottom