Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msanii wa muziki Bongo, Vanessa Mdee ametoa mchongo kwa wasichana,Muimbaji huyo wa ngoma Kisela kwa sasa ametangaza kutafuta madansa wa kike ambao anatarajia kuwatumia katika video yake mpya, wote ambao wana uwezo huo wanatakiwa kumtumia Vanessa clip zao za video kupitia mtandao wa twitter kwa ku-shatag [HASHTAG]#VeePickMe[/HASHTAG].

Utakumbuka February 15 mwaka huu Lady Jaydee alitangaza kutafuta madansa 10 hadi 12 wa kike na wa kiume wanaoweza kucheza vizuri style za kiafrika pamoja na za nje, hivyo Vanessa naye pia amekuja kuongeza fursa kwa vijana wenye uwezo wa kucheza.
 
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United, Romelu Lukaku, amesema kuwa anastahili kupewa heshima ndani ya Man United kutokana na kiwango alichonacho katika timu hiyo kwa sasa.

Lukaku aliisadia Manchester United kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 wikiendi iliyopita, amesema licha ya umri wa wake wa miaka 24 aliyonayo hivi sasa, bado ana uwezo wa kuipambania klabu yake.
 
Mbali na hayo Lukaku amesema anahitaji pia kushinda mataji mengi na kikosi hicho cha United kwani ana matumaini hayo.

Mpaka sasa mshambuliaji huyo amefikisha jumla ya mabao 27 akiwa United huku akiwa amefunga jumla ya mabao 43 katika msimu huu kwa klabu na taifa lake la Ubelgiji.
 
Mfalme Mohammed VI wa Morocco Jumatatu amefanyiwa ôkwa ufanisiö operesheni ya moyo katika kliniki ya Paris, Ufaransa baada ya mapigo ya moyo kutokuwa ya kawaida, timu yake ya matibabu ilitangaza.

Madaktari hao katika taarifa, wamesema mfalme huyo mwenye umri wa miaka 54 alipata dalili za kusumbuliwa na moyo Januari 20.
 
Tiba ya kuondoa mapigo yasiyo ya kawaida," au mrindimo usio wa kawaida ilifanyika kwa ufanisi kurejesha mapigo ya moyo ya kawaida.

Mfalme Mohammed, ambaye anatarajiwa kurejea kwenye shughuli zake za kawaida baada ya kipindi cha kupumzika kilichoamriwa na madaktari wake, ametawala Morocco tangu Julai 1999 alipofariki baba yake Mfalme Hassan,Aidha, Septemba mwaka jana alifanyiwa operesheni ya jicho jijini Paris.
 
Hii ni habari njema basi.
Naona mkakati wa kupunguza kansa ya shingo ya kizazi unaelekea kuzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…