mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Gulio my love sio tofauti na hapoKaterero hahahaha
Gulio my love sio tofauti na hapoKaterero hahahaha
HapanaHii ujumbe sometimes iko vice versa na ukweli
Jibu zuriSis, nimefanya nini tena jamani? Ni hili Gulio la Katerero ama kuna lingine?
Siku ukipita Bukoba usikose kufika Katerero. Ni sehemu moja nzuri sana imejaa miti ya kila aina na wenyeji wa kata ya Katerero wanajulikana kwa ukarimu na upendo wa ajabu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Stay true and real bro Hakuna shida utani ni Afya ni njia moja ya kuonyesha appreciation to each other na jinsi gani tuna heshimianaAsante bro. Ila nadhani nilikuwa nimezidisha sana utani hapa. Ndiyo nipo kwenye harakati za kupunguza japo ni ngumu kidogo...Pamoja daima !!!
Hahahahaha
Sidhani kama ilimaanishwa hivyo kwa mleta post walahiGulio my love sio tofauti na hapo
Baba wa misambwanda! Hivi yeye ndiye mwenyekiti wa CHMITZ nimesahau jina, hahahahaShimba ni mtu fresh sana harakati zake nazikubali 100%
HahahahahaSidhani kama ilimaanishwa hivyo kwa mleta post walahi
HahahahahaBaba wa misambwanda! Hivi yeye ndiye mwenyekiti wa CHMITZ nimesahau jina, hahahaha
Mwenyekiti ni AndjulBaba wa misambwanda! Hivi yeye ndiye mwenyekiti wa CHMITZ nimesahau jina, hahahaha
Sidhani kama ilimaanishwa hivyo kwa mleta post walahi