Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

624C298D-8D3D-4043-AEFA-DDD5067935A1.jpeg
That my Queen
Yup my dear
 
Sis, nimefanya nini tena jamani? Ni hili Gulio la Katerero ama kuna lingine?

Siku ukipita Bukoba usikose kufika Katerero. Ni sehemu moja nzuri sana imejaa miti ya kila aina na wenyeji wa kata ya Katerero wanajulikana kwa ukarimu na upendo wa ajabu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hilo jina alafu mleta post mwenyewe hahahaha haki ya Mola wangu!
Umenichekesha sana that’s all my brother
 
Yuko zake Marekani anachochea moto huku kwetu kuwake. Wanamtumia vizuri sana !!!
Believe me majority wala hawa jui what’s going on mitandaoni! Yaani totally no clue at all, mfano wake ni sawa na kuweka kijiko cha maji kwenye Indian Ocean, believe me, sio kwa ajili mimi ni kada au vipi bali ni ukweli! Majority hawamjui kabisa huyo mama!
 
Robbie na timu yake ya England wawe macho, kwani haitakuwa rahisi kwao," amesema Usain, na kuongeza kwamba amepanga "kitu maalum cha kusherehekea" timu yake ikishinda.
Bolt, 31, ni shabiki wa Manchester United, na wakati mmoja alipiga simu kwenye runinga ya klabu hiyo, MUTV, bila kutarajiwa.
"Nimekuwa nikisemamuda mrefu kwamba ninataka sana kufanikiwa katika mchezo wa timu kwa sababu uwanjani ni bidii ya mtu binafsi," alisema wakati huo.
"Huwa najiimarisha upesi na kufahamu ninafaa kufanya nini punde ninapopata kazi. Ninapopata maagizo, huyafuatilia vyema sana," alisema.
 
Mechi hiyo awali imewashirikisha wachezaji wa zamani kama vile Maradona, Alan Shearer na Ronaldinho wakicheza dhidi ya watu mashuhuri kama vile Mark Wright, Jack Whitehall na Olly Murs.
Will Ferrell, Gordon Ramsay, Mike Myers na Craig David pia wamewahi kucheza.
"Kutwaa tena taji hili kwa niaba ya England litakuwa jambo zuri sana Usain akiongoza Soccer Aid World XI (Timu ya Dunia)," alisema Robbie Williams, ambaye ni mwanzilishi mwenza wa Soccer Aid.
"Nasubiri sana kuongoza timu ya England."
Tiketi za mechi hizo zinauzwa £10 na £50
 
Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Ian Wright anasema kuwa hakuna sababu za kusalia kuwa meneja baada ya msimu huu.
Wright pia aliwashutumu baadhi ya wachezaji kwa kutojituma na kudai kwamba mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke hajali.
Arsenal imepoteza mechi sita kati ya 12 2018, ya hivi karibuni ikiwa fainali ya kombe la Carabao dhidi ya Manchester City.
 
'Wenger amekuwa akitoa sababu na kwamba anawapendekeza na kuwatetea wachezaji wake', Wright aliambia bbc radio 5 live.
' Iwapo atasalia msimu ujao sioni sababu na sidhani kwamba mtu yeyote anaweza kufanya hivyo. mambo kama haya ni sharti yafikie ukingoni'.
Akizungumza siku ya Jumatatu , Wright ambaye alifunga magoli 158 kati ya mechi 288 alizoichezea Arsenal na kustaafu katika kandanda 2000 alizungumzia kuhusu haya:
 
Arsenal imeshinda mataji saba ya FA chini ya Wenger ikiwelo lile la msimu uliopita lakini mataji matatu ya mwisho ya EPL yalipatikana chini ya raia huyo wa Ufaransa mwaka 2004.
Wright: "nataka Arsenal ipiganie mataji tena , waweze kusajiliwachezaji ambao wanaweza kukufurahoisha nataka mkufunzi ambaye atawaongoza .Baadhi ya wachezaji hawajitumi kwa sababu wanamiliki mali ambazo wanakodisha. Ni muda gani ambao Arsenal itachukua kurudia ufanisi wao. Kila timu inafanikiwa na kusonga mbele katika zile timu tano bora .Arsenal inarudi chini lazima wasitishe mwelekeo huo , watafute mkufunzi mzuri na baadaye kutafuta wachezaji watakaosonga mbele. Safari ndefu.
'Mwenyewe lazima ashirikishwe'
 
Back
Top Bottom