ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hahahahaha
Kweli kabisa
Hahahahaha
DuMtoto wa kike ana magroup 10 kila group ana mabwana wawil aisee ndio maana joto linazidi duniani[emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Amun RaToo bad nimeiona!
Shimba jamani!
Ehh Maulana Mola wangu nakuomba mdomo wa my brother Shimba usiwe unaumba!
Asante Mola wangu!
Wanatafuta pesa za fainitangazo
Inspection 1
1.License
2.Insurance
3.kwenda kwa usalama
4. Fire extinguisher
5. Triangle
Inspection 2
1. Front Lights
2. Parking Lights
3. Break Lights
Inspection 3
1. Car colour
2. Dents
3. Car seats
Inspection 4
1. Inside Bonet (kama uko natatizo ndani ya bonet yako fix now) hii ni mpya kabisa bado iko ya moto kwenye inspection mpya.
NB
Wakubwa muhakikishe batteries zenu za magari zina icho kifuniko chekundu...vinginevyo jiandae kulipa faini ya Tshs 30 wakikusimamisha wakafungua boneti na wasikikute..take care!!
Hii ni Insulator, inazuia "body" la gari kugusana na point chanya ya battery na kusababisha sparks ambazo ni chanzo cha moto....
Richest family
KARMANdo wadada wa mjini.
Karma iko kazini saiz inafanya kazi.
Inawezekana mkuuWatu wa conspiracy wanasema eti familia hii ndiyo inaendesha dunia mpaka leo hii. Eti wao ndiyo huchagua maraisi wa nchi zenye nguvu n.k....
Hahahahaha ho chi