Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hatuoni ujiniazi wao. Tumebakisha kutoa hoja za kihistoria tu ili kujifariji. Tuna matatizo ya kisaikolojia baada ya kutawaliwa na kuvurugiwa utamaduni wetu, lugha zetu na identity yetu. Sasa hatujitambui. Leo hii binti mweusi anakunywa madawa ili mtoto atakayezaliwa awe mweupe. Real?View attachment 702538
Fikiria jamani! Watu weusi ni genius!