Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hatuoni ujiniazi wao. Tumebakisha kutoa hoja za kihistoria tu ili kujifariji. Tuna matatizo ya kisaikolojia baada ya kutawaliwa na kuvurugiwa utamaduni wetu, lugha zetu na identity yetu. Sasa hatujitambui. Leo hii binti mweusi anakunywa madawa ili mtoto atakayezaliwa awe mweupe. Real?View attachment 702538
Fikiria jamani! Watu weusi ni genius!
Hakuna cha shauri wala nini. Something is not right somewhere. Hata haya mauchawi jamani si angalau tuyatumie vizuri kuwaamsha watu wetu?View attachment 702539
Shauri yako
Inaumiza Sana bro na wadada mitaani kujikoboa kwingi hili wawe weupe ndio mana Redemption song ya Bob Marley inabaki kuwa nyimbo bora kwangu ni shida sana broHatuoni ujiniazi wao. Tumebakisha kutoa hoja za kihistoria tu ili kujifariji. Tuna matatizo ya kisaikolojia baada ya kutawaliwa na kuvurugiwa utamaduni wetu, lugha zetu na identity yetu. Sasa hatujitambui. Leo hii binti mweusi anakunywa madawa ili mtoto atakayezaliwa awe mweupe. Real?
TrueWatu wa conspiracy wanasema eti familia hii ndiyo inaendesha dunia mpaka leo hii. Eti wao ndiyo huchagua maraisi wa nchi zenye nguvu n.k....
Best song ever. Apumzike kwa amani huyu mtume
Ndiyo hivyo tena!Hakuna cha shauri wala nini. Something is not right somewhere. Hata haya mauchawi jamani si angalau tuyatumie vizuri kuwaamsha watu wetu?
NB: No ignore list please [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni vema na ni hakiBest song ever. Apumzike kwa amani huyu mtume