Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1874c65c368dde1599014633429181f3.jpg
 
Nilishawahi kula ban ya wiki moja. Haikuwa mbaya kivile. Sasa nikila ban actually itanisaidia kidogo. Nimezidi sana kuangalia angalia huku. Yaani halipiti lisaa limoja. Ngoja nije niende jukwaa la siasa huko nikakorofishe nione itakuwaje....
Hahahahahaaa wewe wasema ila ban ukiwa haujajiandaa inaboa ika ukijiandaa wala utafurahia uhuru wako nje ya JF vizuri tu
 
Pengine kapunguza ligi yake na uchwara/dhalimu/nduli [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Hahahahah bak ukimkuta anga za siasa kama sio yeye na yale magazeti yake
 
Back
Top Bottom