Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aaah hata sababu haina mashiko,ukila ban kikweli utaimiss JF shaurilooo
Nilishawahi kula ban ya wiki moja. Haikuwa mbaya kivile. Sasa nikila ban actually itanisaidia kidogo. Nimezidi sana kuangalia angalia huku. Yaani halipiti lisaa limoja. Ngoja nije niende jukwaa la siasa huko nikakorofishe nione itakuwaje....
 
Wala tena siyapendag,ila mods wamekusahau hahaha wiki ya tatu au nne hii hujala ban
Pengine kapunguza ligi yake na uchwara/dhalimu/nduli [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Nilishawahi kula ban ya wiki moja. Haikuwa mbaya kivile. Sasa nikila ban actually itanisaidia kidogo. Nimezidi sana kuangalia angalia huku. Yaani halipiti lisaa limoja. Ngoja nije niende jukwaa la siasa huko nikakorofishe nione itakuwaje....
Hutachikua round utaipata tu!
Lakini Mitusi imepungua kwa kweli
 
Pipiii ziko wapi ?
SYB
BAK
df3d180a80625a794ebbd3da0cfa9b36.jpg
 
Back
Top Bottom