myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!Sijafungiwa mkuu. Usije ukaogopa kuweka yake mambo yetu. Tupo salama !!!
Duh!Sijafungiwa mkuu. Usije ukaogopa kuweka yake mambo yetu. Tupo salama !!!
Aaah hata sababu haina mashiko,ukila ban kikweli utaimiss JF shauriloooSis.....
Najaribu kupunguza utani na utundu. Ndo nikaamua kupractice ban. Nipo !!!
Mshauri maana huwa kuna wakati tulikukosa...Aaah hata sababu haina mashiko,ukila ban kikweli utaimiss JF shaurilooo
Nilivyo mtaalamu wa kukikaangiza sasa kukiacha vigumuKitimoto kinasingiziwa kwa mengi lakini kukiacha thubutuuuuu !!!
Nishampa huo ushaur bora arudie avatar yake ban kifungo kigumuMshauri maana huwa kuna wakati tulikukosa...
Wala tena siyapendag,ila mods wamekusahau hahaha wiki ya tatu au nne hii hujala ban
Wala tena siyapendag,ila mods wamekusahau hahaha wiki ya tatu au nne hii ban
Sis....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaweka avatar ya banned,labda watakua wamemlisha ban kiukweli ukweli kwa kuweka avatar hio
HahahahaSis.....
Najaribu kupunguza utani na utundu. Ndo nikaamua kupractice ban. Nipo !!!
Duh!Hydro...
![]()
Ignore list si mpaka niwakosee jamani? Mnataka kunionea bure tu sasa. Acheni huzo please...Aah bana hata uite nani na sie tutakuweka ignore list afu tutakutoa ili utuite sis hahahaha
Kaaazi kweli kweli