Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

398d106f47a6e4b8551f92e9b5536bbe.jpg
 
Mkuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbinu uliyo tumia kuijua nafasi yako kwenye uzi huu ni ya hali ya juu sana.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] ingekuwa rahisi ningekufa kimtindo(kwa kuzuga) ili nione nachukiwa kiasi gani na raia wanao nizunguka...

Hello brother[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kujiua hutapata data za ukweli kwa sababu ukifa otomatikale unakuwa mwema. Tafuta sababu nyingine kama kuachwa na shemejiyo kipenzi or something [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Ripoti mpya inasema watoto wanaonyonya vidole au kung’ata kucha zao kwa meno huenda wasipate matatizo ya kuathirika kutokana na mazingira hewa au kula vyakula fulani. Kwa mujibu wa waandishi katika jarida la Pediatrics, huo ni ni usafi dhanio,kwani yatokanayo na baadhi ya wadudu huimarisha mfumo wa kinga ya mwili.
 
Back
Top Bottom