ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hahahahhahhajahah jamanMbinu uliyo tumia kuijua nafasi yako kwenye uzi huu ni ya hali ya juu sana.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] ingekuwa rahisi ningekufa kimtindo(kwa kuzuga) ili nione nachukiwa kiasi gani na raia wanao nizunguka...
Hello brother[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Upsss broSawa bro [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hiyo hapo uisave Bro
Aah jaman si useme tu,siri yetu hawataona
Duh kama ni hivyo hongera kwa kupewa bodyguard maalumu wa kulinds maandish yakoHunitakii mema weye!!! Nikimakiza kuandika tu ban hiyo imetua kwa BAK.