Konokono....Hata hivyo, watafiti hasa wa afya na tiba ya binadamu wamechunguza na kugundua kuwa Konokono akipikwa na kuliwa kama chakula cha kawaida ana virutubisho ambavyo ni faida kubwa kwa binadamu kwa kuponya magonjwa mbalimbali.
Wapo wengi, ushauri tiba unapatikana hapaMa docta tunawapata humu humu
Safi Kiongozi, za hukoPoa Mkuu heshima yako.
Safi Kiongozi, za huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Joyce Kiria...Yelelilee lileee mambo hadharan yelelile lilee weka mambo hadharan ndugu usaidiwe mama yelele yelele mateso yamenizidi yelele ndoa sasa imekua ndoano
Mtu mkubwaKigogo
Mna maneno dah !!!Nevaa... Kwa mimi siwezi kuita sis... Ili ninyimwe nini??? Hu nouzi...labda nitakae mwita ndo mai waifu wangu...
Halo haloooooo.... Raha ya kuita sis...uitikiwe "Dadiiii"
SambusaKigogo
Ndio kwaaaanza...10:14
Cc. Joyce Kiria...Hahahahahahaha lol! Mambo hadharani SYB itapendeza Mkuu.
Anajifanyaga mzungu na kuwakandia mbayaAfrican Americans wanamchukia huyu Dada kupita kiasi.
Stacey Dash.