BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Sanaaaaa halafu ni Republican wa kutupa.
Anajifanyaga mzungu na kuwakandia mbaya
Anajifanyaga mzungu na kuwakandia mbaya
Unafakamia mpaka mdomo, midevu, shingo na kifua vinalowana chapa chapa. Wengine mpaka wanavaaga kale kakitambaa ka kuzuia chakula kisikudondokee kifuani hasa kama konokono kaungwa kwa asali mbichi, maparachichi na/au chokleti. Usiombe aisee ukibahatisha konokono wa maji joto mwenye tena urojo vuguvugu. Utafikiri mwisho wa dunia...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Konokono....
It is not worth it....Hahahahha hata ka bifu ka utani haha
Anonymous idumuuuuu
Salama kabisa mkuu. Kwema?Mkuu habari
[emoji124] [emoji124] [emoji124]hata iweje siwezi kuita sis... Nefaa...Hahahahaha una yako wewe. Hebu kubali kuita sis aman ya uzi irudi bana hahaha
Duh!Unafakamia mpaka mdomo, midevu, shingo na kifua vinalowana chapa chapa. Wengine mpaka wanavaaga kale kakitambaa ka kuzuia chakula kisikudondokee kifuani hasa kama konokono kaungwa kwa asali mbichi, maparachichi na/au chokleti. Usiombe aisee ukibahatisha konokono wa maji joto mwenye tena urojo vuguvugu. Utafikiri mwisho wa dunia...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Hata hivyo, watafiti hasa wa afya na tiba ya binadamu wamechunguza na kugundua kuwa Konokono akipikwa na kuliwa kama chakula cha kawaida ana virutubisho ambavyo ni faida kubwa kwa binadamu kwa kuponya magonjwa mbalimbali.
Ndioooo..."konokono" asiye na gamba gumu,mlaini,ana naniiii...Konokono....
Weee mzee maelezo yote haya ni ya ulaji wa konokono huyu huyu ninaemuonaga mara kwa mara au yule wa nadra tena kwa mbali?Unafakamia mpaka mdomo, midevu, shingo na kifua vinalowana chapa chapa. Wengine mpaka wanavaaga kale kakitambaa ka kuzuia chakula kisikudondokee kifuani hasa kama konokono kaungwa kwa asali mbichi, maparachichi na/au chokleti. Usiombe aisee ukibahatisha konokono wa maji joto mwenye tena urojo vuguvugu. Utafikiri mwisho wa dunia...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Nje ndani hiyo
Mkuu hapo "mjusi anapanda gogo la mbuyu"Hii picha kila nikiiona huwa natabasamu 🙂
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Da Gama
Kigogo fresh, kigogo landa bar. Kigogo mwishoSambusa
Tatizo Dar kila mtu fundi.Nje ndani hiyo
Wameomba wamempata wanalalamika[emoji3] [emoji3]Watu wameshasahau maombi yao
Kwema mkuuSalama kabisa mkuu. Kwema?
Alivyoona ile Mashine ni kubwa akaona ndiyo yenyewe kwa kukaa chumbaniTatizo Dar kila mtu fundi.
Ninavyoona hiyo a.c aliipata kwa njia isiyo sawa.Alivyoona ile Mashine ni kubwa akaona ndiyo yenyewe kwa kukaa chumbani