Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unafakamia mpaka mdomo, midevu, shingo na kifua vinalowana chapa chapa. Wengine mpaka wanavaaga kale kakitambaa ka kuzuia chakula kisikudondokee kifuani hasa kama konokono kaungwa kwa asali mbichi, maparachichi na/au chokleti. Usiombe aisee ukibahatisha konokono wa maji joto mwenye tena urojo vuguvugu. Utafikiri mwisho wa dunia...[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Weee mzee maelezo yote haya ni ya ulaji wa konokono huyu huyu ninaemuonaga mara kwa mara au yule wa nadra tena kwa mbali?

Nimeisikirini shoti hiyo komenti yako...
Tuonane mwezi wa nne[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hewalaa kwenye ubora kabisaaa
 
Sawa mkuu. Nisije tu nikaikuta hiyo comment imekuwa framed na kukolezwa rangi kisha kutundikwa sebuleni. Nitaona aibu sana !!!
 
f642b553c6797f1e7c3e5f243fe97739.jpg
 
Hata hivyo, siku moja, mwanamke mmoja alilalamika kuwa yeye haridhiki na jinsi mwalimu wao anavyowafundisha. Alisema wao ni watu wazima lakini mwalimu wao anawafanya wajifunze kwa kuigiza kama watoto na wakati mwingine kuwaimbisha nyimbo na kuwachezesha ngoma za asili
 
Back
Top Bottom