myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Burudani za usiku
...Tunahitaji ajaye awe dikteta. Nchi hii haitawaliki kwa sasa...Huyu yeye kucheka cheka tu. Vasco da Gama huyu. Mkwere...Dhaifu
Nikasirikie nini sis? Matani ya hapa? Nikiona yanazidi kipimo si najileftisha tu kwa muda? Uzuri hapa hatujuani.....Hata ukikasirika nobody gives a damn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha halafu shimba sijawahi ona anaksirika aah nae akasirike nikimbie uzi kwa muda
Nikasirikie nini sis? Matani ya hapa? Nikiona yanazidi kipimo si najileftisha tu kwa muda? Uzuri hapa hatujuani.....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...Tunahitaji ajaye awe dikteta. Nchi hii haitawaliki kwa sasa...
Wabongo nomaaaa !!!
Konokono na virutubisho.....
Numbisa wewe!!
Watu wameshasahau maombi yao...Tunahitaji ajaye awe dikteta. Nchi hii haitawaliki kwa sasa...Huyu yeye kucheka cheka tu. Vasco da Gama huyu. Mkwere...
Wabongo nomaaaa !!!