Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Andaeitini nakuona wazunguka tu humu,haujaingia darasani leo?
Numbisa?Natafuta riziki humu, si unajua ya kwamba riziki ya mbwa iko miguuni mwake? Vipi kwema huko?
Hahahaha.....habari ya asubuhi njema sana tu shemeji yangu(shemeji kwa dada/kaka yangu nani?)Kwema kabisa shemeji. Habari ya asubuhi (ikiwa tu upo koromije) mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Numbisa?
Kwema kabisa ndugu yangu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Habari ya majukumu?
Mungu ni mwema kwetu sote[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hahahaha.....habari ya asubuhi njema sana tu shemeji yangu(shemeji kwa dada/kaka yangu nani?)
Nipo Gamboshi mkuu
Akhsante sana....Mungu ni mwema kwetu sote[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Wee nipokee kama shemeji yako wa faida,vingi utapata, ni zaidi ya matunda uyapendayo...
Karibu sana mkuu...
Hapa nilipo...Akhsante sana....
Nikupokee kama shemeji wa kiume au shemeji wa kike?
Hahahaha.....Hapa nilipo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante kwa mapokezi mazuri shemeji...Hahahaha.....
Una sifa zote za kuwa shemeji yangu andjul
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa nilipo...
Wabheja sana nkwela[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante kwa mapokezi mazuri shemeji...
jakitoo kwema mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
BAK anasomaga kwa umakini kabisaHata kusoma tunasomaga basi? Hasa kwa mtu ambaye hatujamzoea? Ni likes tu na kusonga mbele....
ahaHau mai lovely "sis"?