Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8ee0afe96add3f91b669b40284f0974a.jpg
 
BABA OMMY DIMPOZ ALALAMIKA KUTENGWA NA OMMY DIMPOZ : . Pichani mwenye tshet nyekundu ni baba yake mzazi Ommy Dimpoz ambapo Amesema mwanae huyo amemtelekeza miaka Mingi licha ya Dimpoz kusifika kwa kula bata nchi mbalimbali duniani. Baba Dimpoz Ana miaka 64 na ni dereva wa bajaji huko Tabora. Babaji amenunua mwenyewe. Wanaomjua wamesema anashindia mihogo na kachumbari !! . Mzee Faraji Nyembo akizungumza na Globalpublishers anasema "Ni kama Wema Sepetu anavyohangaika kutafuta mtoto, siku akimpata hata kama hamsaidii chochote atamshukuru tu Mungu hivyo na mimi huwa ninamshukuru Mungu maana nimeshamleta Omary duniani. Yeye kama mtoto, ndiye anayetakiwa kujua mzazi wake anahitaji nini, yaani ukimuuliza sasa hivi Dimpoz akupe namba yangu, utaona, atakujibu nini maana ninaamini hana. Nimekuwa nikimpigia, lakini simu yake unaambiwa inatumika, angekuwa anaona umuhimu si angekuwa na namba maalum kwa ajili ya kuwasiliana na mimi baba yake kama mastaa wengine wanavyofanya kuwa na namba kwa ajili ya mashabiki na nyingine ya watu muhimu,” alisema na kuongeza “Mfano nikifa kama leo ni bora huyo Ommy asinizike au kuja Tabora maana watu watampiga na kwanza atasema ni nani wake amefariki dunia maana hivi niko hai hana ushirikiano,” alisema baba huyo
 
Polisi Dubai wamesema ripoti zimeonyesha kuwa kifo cha muigizaji maarufu wa Bollywood (SRIDEVI) kilisababishwa na kuzama katika jakuzi bafuni baada ya kupoteza fahamu. Hapo awali vyombo vya habari vilitangaza kuwa muigizaji huyo alipoteza maisha baadaya kupatwa na mshtuko wa moyo. Lakini baada ya uchunguzi kufanyika imeonekana kuwa sababu hasa ya kifo chake ni kwamba alizama ndani ya jakuzi alipokuwa bafuni hotelini baada ya kupoteza maisha. Sridevi aliyekuwa na umri wa miaka 54 amekuwa katika ulimwengu wa filamu kwa miongo 5. Aliigiza filamu yake ya kwanza akiwa na miaka minne. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU SRIDEVI MAHALA PEMA PEPONI...
 
Rip Sridevi
 
Back
Top Bottom