4. Mtoto wa mnyama huyo anapozaliwa huwa na kati ya kilo 153 hadi 200, wakati nguva mkubwa huwa na kati ya kilo 400 hadi 1, 000 huku chakula chake kikuu kikiwa ni majani
Alikuwa akionekana Dar es Salaam, Kimbiji, Buyuni, lakini sasa haonekani tena kwani ni mnyama mwenye aibu sana na anapogundua kuwa maeneo alipo kuna binadamu huamua kuhama na kwenda mbali zaidi kwenye utulivu.