Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180301-WA0004.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona anamtafuta mkoromije
Ni kawaida ya baadhi ya wageni. Wao wakifika mahali hawajipi hata muda wa kuwajua wenyeji wanaishije, yupi ni yupi na mahusiano kati ya wanajamii waliyoikuta yakoje. Matokeo yake ni kama haya sasa. Wanaishia kutongoza hata mke wa mtemi...na kuishia pabaya....
 
Back
Top Bottom