[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Yetu macho,
Za macho zaruhusiwa pia.
Kaolewa? Wamerudiana na Andjul? Mungu Aendelee kumbariki...Mie na carba hatumo humo.
Leo nimemuona nsamaka hukoo ana good news
Ni kawaida ya baadhi ya wageni. Wao wakifika mahali hawajipi hata muda wa kuwajua wenyeji wanaishije, yupi ni yupi na mahusiano kati ya wanajamii waliyoikuta yakoje. Matokeo yake ni kama haya sasa. Wanaishia kutongoza hata mke wa mtemi...na kuishia pabaya....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona anamtafuta mkoromije
Nzuna wane. O Jakitoo aling'wanike wane. Ung'wenuyo nkwelayo nekage. Cholaga udwanike nulu na mashimbe galiho mingi ahenaha !!!Hapa tutawakera baadhi ya members mkuu...
Ebu njoo chumbani [emoji85]
Ni wazuri sanaUwiiiii siwapendi na ninawaogopa sana viumbe hawa
Mkuu...Unampangia mtu? Na hizo likes za bure ziko wapi mkuu?Kha jamani hata kama ndo tunapata likes za bure..... Upumzikage kidogo (in magu's voice)
Ana matatizo, mpuuzie tu!Mkuu...Unampangia mtu? Na hizo likes za bure ziko wapi mkuu?