Ameshaikataa hiyo title. Ulikuwa utani wa jana huo....Hahahahaha Numbisa sis
Naona unanitafuta si bure....Sis hujambo? Za kupotea? Karibu tena [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Siyo yeye bana? A yu siriazi?Le super woman[emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Nani kwa mfano[emoji41] [emoji41]Hivi vitu ni vitamu sana. Ukute humu wapo wanao mzidi huyu...![]()
HahaaaHahahahah wewe na andjul akili moja hahahah
Unataka upewe mahari we ni nani wake? Au unafikiri mahari inagawiwa hovyo hovyo tu?[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️... Hivi tutapata mahari kweli kwa mwendo huu? Mi shaking’i mai dem hedi! [emoji1][emoji1]
Beards [emoji7]
Ndo ugeuke kiasi hichoMacho hayana pazia Clkey.