Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naomba hiki kitabu....
Naomba hiki kitabu....
MnahangaikaInaendelea salama kabisa Mupenzi wangu
Tumshukuru Mungu[emoji120] [emoji120] [emoji120] Za kwako baby?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuliza boli basi shemeji kipenzi darling. Usipokuwepo hapa panadoooooda vibaya sana...Hata Mwakaleli anamaliza mbwembwe....Naona unanitafuta si bure....
Mimi yaani mimi carba?leo naitwa sis??
Toka shemeji kipenzi hadi sis??
Walahi nahama uzi......
Duh! Kuna kufyatua spaino kodi usipokuwa mwangalifu...
Ndo mwenyewe huyoSiyo yeye bana? A yu siriazi?
Unataka upewe mahari we ni nani wake? Au unafikiri mahari inagawiwa hovyo hovyo tu?
Zina faida yake hizo bebi...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Beards [emoji7]
Hali ya hewa shawishi kwa kilimo cha watoto [emoji23] [emoji23] , Wish ningekuepo darling, huku kimvua cha wastani.[emoji8] [emoji8] MY[emoji8] [emoji8]Sijambo. Kimvua mvua hapa. Kibaridi cha aina yake. Madirisha yako wazi. Kikombe cha tangawizi ya moto mkononi. It is a wonderful privilege that I am alive and healthy on this beautiful day. Wish you were here. Hali ha hewa shawishi balaa [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
Hahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuliza boli basi shemeji kipenzi darling. Usipokuwepo hapa panadoooooda vibaya sana...Hata Mwakaleli anamaliza mbwembwe....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwa raha zetu bana.....!!!Mnahangaika
Mara bro na sis
Mara tulizo la moyo na mupenzi
Hahaaa
Waonee
Kaka mahari ya nn tena akati makahari tayarii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️... Hivi tutapata mahari kweli kwa mwendo huu? Mi shaking’i mai dem hedi! [emoji1][emoji1]
Hivi upo?Kaka mkubwa mimi, ooh!
Mnakatiana usingizi kila siku, huo ukaka mkubwa umeanza lini?Kaka mkubwa mimi, ooh!
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani imebidi nicheke tu kwakweli
Toka babe hadi sis?
Kweli maisha yanaenda kasi kwa speed ya mwanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!!!
Hahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwa raha zetu bana.....!!!
Bro bro brooooo hahahaahSijambo. Kimvua mvua hapa. Kibaridi cha aina yake. Madirisha yako wazi. Kikombe cha tangawizi ya moto mkononi. It is a wonderful privilege that I am alive and healthy on this beautiful day. Wish you were here. Hali ha hewa shawishi balaa [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnahangaika
Mara bro na sis
Mara tulizo la moyo na mupenzi
Hahaaa
Waonee
Atuache[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwa raha zetu bana.....!!!
Tatizo sio sis tatizo inaiweka ndan ya mabano kama umelazimishwa vile akhaaa kaa nayo hahahahaJana we si ulililia kuitwa sis jamani? Naona hata Carba naye hataki. Haya basi nitaacha jamani. Bageshi itafaa? Baby je? Au nitwange Numbisa tu?
===>(Sis ni kinyume cha bro. Sasa sijui tatizo liko wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])