Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
Vizuri kama uko poa[emoji4] [emoji4] [emoji4]Niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu.
[emoji120][emoji120]
Vizuri kama uko poa[emoji4] [emoji4] [emoji4]Niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu.
Bibi harusi kala mahari yake mwenyewe[emoji41][emoji41][emoji41]Duu, wajomba watakuwa walikula hiyo mahari kimya kimya!![emoji23][emoji23]
Hali ya hewa shawishi kwa kilimo cha watoto [emoji23] [emoji23] , Wish ningekuepo darling, huku kimvua cha wastani.[emoji8] [emoji8] MY[emoji8] [emoji8]
Huku kwema shemeji kipenzi darling. Tumshukuru Mungu daima....Hahaaaa
Hapo sawa
Acha nipumue sasa vizuri
Hahaaa
Kwema lakini??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh! ulikuja mkubwa sasa mmmm........ kama theluji juani
Habari jiranisalam kwa jirani
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Poa sanaNimejaa tele, habari za kupotea?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaaa kidogo unywe hata juiceNapita tu
Itakuwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] Walikuchinjia baharini
Miss u 2Nimewamiss
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una nn lakini weweee kaone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bibi harusi kala mahari yake mwenyewe[emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakua walitibuana piemu hahahaha
Saiv wameshasameheana hahaha
Teh[emoji23][emoji23]Au nyie wafuatiliaji ndo mwahangaika? [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee huyu alikuwa supastaa wa ukweliPolisi Dubai wamesema ripoti zimeonyesha kuwa kifo cha muigizaji maarufu wa Bollywood (SRIDEVI) kilisababishwa na kuzama katika jakuzi bafuni baada ya kupoteza fahamu. Hapo awali vyombo vya habari vilitangaza kuwa muigizaji huyo alipoteza maisha baadaya kupatwa na mshtuko wa moyo. Lakini baada ya uchunguzi kufanyika imeonekana kuwa sababu hasa ya kifo chake ni kwamba alizama ndani ya jakuzi alipokuwa bafuni hotelini baada ya kupoteza maisha. Sridevi aliyekuwa na umri wa miaka 54 amekuwa katika ulimwengu wa filamu kwa miongo 5. Aliigiza filamu yake ya kwanza akiwa na miaka minne. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU SRIDEVI MAHALA PEMA PEPONI...
Acha nikufuate nyuma[emoji124] [emoji124] [emoji124]Napita tu
Utanipa mrejesho wa ndoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]...Hapana, hayo ma plus size hayafai! Nadhani nitakuota ukiwa ka portable? [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]