Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
Cc. YegomasikaTumuulize kitoo
Maaana naona kakayake analalamika hajapata mahari[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc. YegomasikaTumuulize kitoo
Maaana naona kakayake analalamika hajapata mahari[emoji23][emoji23][emoji23]
Mrejesho kaota yupo gamboshi anakimbizwa na fisi hahahaUtanipa mrejesho wa ndoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilijua umeonaNimeona analalamika tu sijaona video
Koh koh kohTena mapacha[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji6]
Majimama uliyomwambia ayaote yamegeuka fisi. Watoto wadogo hawa msiwe mnawatisha tisha hasa nyakati za usiku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mrejesho kaota yupo gamboshi anakimbizwa na fisi hahaha
Hahahahahha hapa nina kazi ila ka uzi kamenoga aahUzi huu unaweza kufanya hata kazi zikadorora aisee....
Yaani ni kweli hujui ni kwa nini nilikuwa naiweka kwenye mabano? Ni kwa nini tunatofautisha konokono na "konokono" kwa kutumia mabano? Hata sis na "sis" kuna tofauti kubwa sana [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
umbea huooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Koh koh koh
Sijui kwanini nimepaliwa
Walitawala dunia katika nyanja zote kwa muda mrefu sana. Walikuwa mpaka na uwezo wa kuweka na kuondoa wafalme madarakani, ikiwemo kwenda vitani na kuua. Ndiyo maana kuna makabrasha ya siri kubwa kuhusu dini, sayansi, utawala n.k. yamefichwa katika vyumba vya chini huko Vatican...Naona makanisa yote makubwa ni RC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawawezi kukereka
Mafunzo hayo ya chumbani duuhh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nimepata mwalimu SYB atanifundisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mke wa mtemiNi kawaida ya baadhi ya wageni. Wao wakifika mahali hawajipi hata muda wa kuwajua wenyeji wanaishije, yupi ni yupi na mahusiano kati ya wanajamii waliyoikuta yakoje. Matokeo yake ni kama haya sasa. Wanaishia kutongoza hata mke wa mtemi...na kuishia pabaya....
Kaka yake tangu lini?Tumuulize kitoo
Maaana naona kakayake analalamika hajapata mahari[emoji23][emoji23][emoji23]
salama kabisa..ulipotea kidogo auHabari jirani
Yap....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mke wa mtemi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umbea huooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyanya rukia
Dah kweli taarifa inayotolewa tofauti kabisa real she was a superstarndio yeye..alilewa yakamkuta kama ya Whitney Houston. hayo mengine wanaficha
Asee poleni, vipi kwema MalkiaShemeji yangu yalimkuta, lakini yeye alilala kwenye sofa huku anaangalia bahari!