Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kaka yake tangu lini?

Hivi "Kitoo (kama wanavyoitanaga) naye ni Mkerewe? Haka KaYego hata hakaelewi utaratibu wa kudai mahari ulivyo hapa....

Kangeniuliza mimi niliyekula mahari nilipomuoza Nsamaka kwa Andjul, Pimbi na kidogo Moud. Au nilivyokuwa namwandama Uniq mpaka alipokuja kuokolewa na Mzee Wenga....
Ila kipindi kile ulikusanya mahari haijapata tokea tena.
Huyu yego me hata simuelewi kwakweli[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyanya rukia,bibi mbea yule
Mwenyewe anakwambia "umbea wahitaji nafasi" [emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifurahisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na yule shoga ake wa 'I don't care about care'[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Amekufa maji kwenye bathtub...likely alikuwa njwii. Tayari TMZ wanasema alichanganya pombe na madawa (hawajasema kama ni ngada au ma pain killers). Heart attack haihusiki. Official cause of death according to Dubai police: Drowning in a bathtub after losing consciousness.
Lakini atakuwa alilewa sana pombe sio chai watuachie wenyewe tu
 
Faiza akiiona hii nimekwisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ff583bfe80c0dadf08d5f76556ec93b1.jpg
Wacha nimtag aione
 
Back
Top Bottom