Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

052d097c69f3be244a40ac05b2a4c7f3.jpg
 
*UJUMBE WA LEO*

*2 SAMWELI 1: 14*

*"Daudi akamwambia, Jinsi gani hukuogopa kuunyosha mkono wako umwangamize masihi wa BWANA?"*

Mpendwa, pamoja na ubaya wote Sauli aliomtendea Daudi, pamoja na kupanga kumuua, Daudi hakumhesabu Sauli kuwa adui anayestahili kifo. Habari za kuuawa Sauli hazikuwa njema kwa Daudi hivyo aliagiza mleta habari kuuawa baada ya kujithibitisha ndiye muuaji.

Mpendwa, Daudi ni kielelezo kizuri cha wenye roho ya msamaha na kutolipiza kisasi. Watawala wengi wa sasa na hata wasio watawala ni wepesi kupanga mabaya na kuyatekeleza juu ya wale wanaowaona kuwa ni adui na vikwazo katika milki au tawala zao. Daudi anatupa kielelezo chema cha kuwasamehe na kutowaumiza wale tunaowafikiri kuwa adui zetu. Yesu Kristo alifundisha, *"wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi."*

Ndugu, upendo wa kweli humaliza *roho ya ukatili* ndani yetu. Mungu atupe Neema ya kusamehe na kutolipiza kisasi.

*MUNGU AKUBARIKI*
 
SABC3 most prized local drama series Isidingo celebrates the landmark 19th birthday on Friday, 7 July.

The show, recognised for always offering an unconventional and challenging storyline has, over almost two decades of broadcasting, remained ever resilient.

This remarkable landmark comes as a result of a myriad of captivating and enthralling moments in the years of the countless anecdotes of the Horizon Deep residents.
 
Since the show first premiered on 7 July in 1998, Isidingo has disclosed topical storylines to its engrossed viewers.

The success of the series lies in the ability to relate story lines that appeal to the South African public, investigating the various facets of life.

Touching, real-life moments have transformed the fictional mine town into a household name.
 
Back
Top Bottom