Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mandibulo ya kulia imepungua mpaka kubaki kama salio tu au imetoweka kabisa. Ile ya kushoto imekuwa sindano ya kupenya tishu ya mmea au mdudu. Koromeo iingizwa ili kufyonza maji ya seli. Kwa sababu ya hii tiripsi ni wasumbufu wakiwa wengi juu ya mimea iliyopandwa shambani.