Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9f2b0e524d53e273ffdab52eaf1b5b42.jpg
 
Pamoja mkuu naona jahazi la Wenger linazidi kuzama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wenga nampenda sana....
Katika kushindwa ndiyo kuna kushinda pia...
Na ukitaka kupima uhalisia wa mtu, mtathmini katika kushindwa kwake...
Arsernal for life wakiendelea hivi.....​
 
Nakufukuza ukalale shem.
Me sipendi uumwe usingizi bhana.
Naomba ukalale,au nije nikufunike[emoji6][emoji6][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Asante shemeji kipenzi
Ngoja nikalale sasa
Usije kunifunika...
Kuna baridi sana na kimvua kinanyesha tangu asubuhi...
Haitakuwa vizuri...
Mungu Aendelee kutulinda na kutubariki...​
 
Back
Top Bottom