carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hali ya hewa shawishi kwa kilimo cha maparachichi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante shemeji kipenzi
Ngoja nikalale sasa
Usije kunifunika...
Kuna baridi sana na kimvua kinanyesha tangu asubuhi...
Haitakuwa vizuri...
Mungu Aendelee kutulinda na kutubariki...
Haya shem darling..
Uwe na usiku mwema na malaika wa Mungu wakulinde[emoji120][emoji120][emoji120]