Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Miaka yote tuliyoishi pale hatujawahi kusikia tukio la shambulio la mamba eneo hilo. Nimezaliwa na kukulia hapo na wazazi wangu pia wamezaliwa na kukulia hapohapo. Wanyama wapo kwenye huo mto, hasa viboko, maji yakijaa wanatembea hadi kwenye makazi ya watu lakini mamba hawakuwahi kuwapo eneo hilo zaidi na maeneo ya mbali,” anasema.