Baada ya nyimbo zake tatu kufungiwa, msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki maarufu Ney wa Mitego amesema anafikiria kupumzika kazi ya muziki.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), juzi Februari 28,2018 ilitangaza kusitisha kuonyeshwa na kuchezwa nyimbo 15 za wasanii kadhaa katika vituo vya redio na televisheni, kati ya hizo tatu ni za Ney