Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Funzo:
Wanawake Msijisahau sana pale mnapokuwa vizuri kifedha zaidi ya mume
Huu mkasa yawezekana kweli ama si kweli,. Lakini Numbisa shida huwa inakuja wapi kwenye vichwa vya wanawake walio wengi. Mwanamke akipata pesa ni shiiida yani kama kwenye familia hivi lazima alete vituko tu. Na lazima watu wajue kuwa anapesa. Na ww uko hivo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…