Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

e2f24e9fc06b4abbbe1f96c9a9924cbf.jpg
 
Dodoma ni mji wa Tanzania ya kati. Imetangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania mwaka 1973, lakini serikali ilihamia kweli mwaka 2016 tu. Mji ni pia makao makuu ya Mkoa wa Dodoma na eneo lake linahesabiwa kama Wilaya ya Dodoma yenye postikodi namba 41100. Wikipedia
Hali ya hewa: 21°C, Upepo Magharibi wa 6 km/h, Unyevu 91%
 
Neno "Dodoma" linasemekana kumetokana na
neno la Kigogo "dodomia" kufuatilia historia kwamba zamani kuna tembo alikuja pale mjini akakita nyayo zake ardhini akiacha alama ya nyayo zake zimedidimia.
 
Dodoma ilianzishwa wakati wa ukoloni wa Kijerumani kama kituo kwenye reli ya kati penye
karahana ya reli. Tangu mwaka 1912 imekuwa makao makuu ya mkoa.
Mwaka 1913 Dodoma ilikuwa na posta , simu,
hoteli na maduka 26 (moja ya Mzungu, mengine ya Wahindi na Waarabu). Kikosi cha polisi kilikuwa na askari 59.
Dodoma imeendelea kuwa mji mdogo mpaka kutangazwa kuwa mji mkuu. Azimio hili lilileta
ujenzi wa maofisi kadhaa ya serikali .
 
Kwa ujumla uhamisho ulichelewa kwa sababu mbalimbali; sababu muhimu ni ya kwamba watumishi wa serikali na wanasiasa walio wengi hawakupenda kuondoka katika jiji halisi na kuhamia mji ambao ni mbali sana na mazingira waliyoyazoea. Pia matatizo ya kifedha yalisaidia kutangaza nia ya kuhamia lakini kubaki palepale.
Hali halisi bunge lilikuwa linakutana Dodoma lakini makao ya kikazi ya serikali ya Tanzania yalibaki Dar Es Salaam pamoja na ikulu ya rais hadi mwaka 2016 . Ndipo kwa amri ya rais mpya, John Magufuli , sehemu kubwa ya ofisi za
wizara zimepelekwa Dodoma.
 
Back
Top Bottom