Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4e14a1ff222074c02a6f609a09230377.jpg
 
Mtu wa karibu na raper huyo aliweza kupiga simu ili kwenda kumchukua mkali huyo na kumpeleka hospitali kwa ajili ya kupata matibabu
Kwa muibu wa mtandao wa TMZ, umeeleza kuwa Rick kwa sasa amewekewa machine za kupumulia za Oxygen ili kumsaidia aweze kukaa sawa na kupambana na tatizo hilo la nimonia.

Rapper Fat Trel ametumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii kuwa julisha mashabiki wao kuwa mkali huyo anaendelea vizuri kwa sasa.licha ya kuwa bado yupo chini ya uangalizi.
 
Hii sio mara ya kwanza kuripotiwa kwa taarifa za Rick Ross kupoteza fahamu na hata kusadikika kuwa na kifafa. Oktoba, 2011 Rozay alianguka kwa kifafa mara mbili, huku akidai ni kufanya kazi sana na kukosa usingizi.
 
FAHAMU - Msanii Nameless na Wahu Kagwi waliishi kama wapenzi kwa miaka 8 na wamedumu kwa muda wa miaka 12 na miezi kadhaa sasa kama mke na mume. Nchini Kenya Couple ya wawili hawa inatajwa kuwa ni nyenye nguvu kati ya chache za wasanii wakongwe na maarufu nchini humo. Wahu Kagwi na Nameless kwa sasa ni wazazi wa watoto wawili wakike Tumiso na Nyakio.
 
Back
Top Bottom