ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mbune, mmbunje au...nashindwa kutaja vizuri.Kaz kweli kweli
Nianze upya tafadhari Mbunie...sijapatia vizuri.
Naanza upya tena Mbunye ndo nini??
Mbune, mmbunje au...nashindwa kutaja vizuri.Kaz kweli kweli
Gaaasi kweri kweri muraa.Kaaazi kweli kweli
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbune, mmbunje au...nashindwa kutaja vizuri.
Nianze upya tafadhari Mbunie...sijapatia vizuri.
Naanza upya tena Mbunye ndo nini??
Chitumbula ndo nini?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Papuyeee kwa jina lingine au kitumbua
HahahaaaNi mwendo wa kufukia misosi
Mama weeGaaasi kweri kweri muraa.
Napita kwenda hombolo ,ila naogopa kwenda kwa watuUrudi tena uje nikuandalie kuku wa kienyeji wa kusteam
Ule chakula cha mdogo wako
Chai hii ukiinywa tu, yaaani moyo wa huruma unakujaa na kutoa kila ulichonacho kwa umpendayeWanaume tunalishwa vingi jamani..![]()
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]