ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Dhambi sana jamaniChai hii ukiinywa tu, yaaani moyo wa huruma unakujaa na kutoa kila ulichonacho kwa umpendaye
Dhambi sana jamaniChai hii ukiinywa tu, yaaani moyo wa huruma unakujaa na kutoa kila ulichonacho kwa umpendaye
Kula kunajenga mwili na mwili haujengwi kwa matofaliHahahaaa
Twende woteeeNapita kwenda hombolo ,ila naogopa kwenda kwa watu
Kila akikusemesha kabla hajamaliza unahisi machozi yanakaribia kukutoka kwa sababu kila neno linakuumiza na kukuchoma moyoni.Dhambi sana jamani