Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,364
- 60,495
Naamin maendeleo mazur shambani
Naamin maendeleo mazur shambani
Yupo wapi huyu ananizingua sanaAcha mbwembwe weuwee huko morogoro umefika kwa bus gani. Tulia huko huko kwenye baridi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lini mara ya mwisho ulikuwa Morogoro? Ni kweli, kuna baridi hapa Moro! Mabasi mbona mengi tu kutoka Dar? Uwe na weekend njema! Nafika hapo ulipo soon! [emoji23][emoji23]
AhsanteNaamin maendeleo mazur shambani
Urudi tena uje nikuandalie kuku wa kienyeji wa kusteamHuko huwa nakuja sana tu. Juzi tu nilikua huko
Hali ya hewa ya weeknd inafurahisha na kukonga nyoyoooo zetuuuWeekend imeshika kasi
Poleee sanaWanaume tunalishwa vingi jamani..![]()
Naomba kapicha ka shamban usije ukawa unanipiga porojo hapaAhsante
Ni mwendo wa kufukia misosi