Dady jaman nimeamka ila nipo kitandaniDemis asubuh yote hii usha amka mama?
Au una kazi ya kutembeza maziwa!
Hope uko vema
Karibun sana Dodoma
Numbisaa
Jakito
Isis
Shimba
Mzee wa liver
Yegomasika
Carba
Ngoja tukague mashamba ,sie washambaJumamos tulivu baadhi ya watu wamepumzka majumbani kwao
Kwa maandishi naweza kana sipo hivyo huwez jua nipoje in real life ila nimekulia kwa mama mvumilivu sana so sina zile mbwembwe za fashen kila kinachoingia kukikurupukia.Huu mkasa yawezekana kweli ama si kweli,. Lakini Numbisa shida huwa inakuja wapi kwenye vichwa vya wanawake walio wengi. Mwanamke akipata pesa ni shiiida yani kama kwenye familia hivi lazima alete vituko tu. Na lazima watu wajue kuwa anapesa. Na ww uko hivo?
Acha mbwembwe weuwee huko morogoro umefika kwa bus gani. Tulia huko huko kwenye baridiNikifika hapo nikuulizie wapi? Niko Morogoro hapa, naelekea Mwanza!
Acha mbwembwe weuwee huko morogoro umefika kwa bus gani. Tulia huko huko kwenye baridiNikifika hapo nikuulizie wapi? Niko Morogoro hapa, naelekea Mwanza!
Aaah hapo pamekaa sahihi,wengi wanatongoza akijua anaenda chezea tu sio kwa mipango mingineNi nadhani ungeandika kama humpendi usimuoe.
Kutongoza ni mchakato wa kumpata umpendae. Nawaza tu lakini [emoji144]
Hili jina shida tupu kila mtu analikatisha ajuavyo aiseeee,wa kuomba na kukemea kwa sana na kulala zaidiUshauri gani huo wewe, mbisa? [emoji1][emoji1]
Acha mbwembwe weuwee huko morogoro umefika kwa bus gani. Tulia huko huko kwenye baridi
Juzi tu nilikua huko,ila wewe hata hewa ya bongo hujaanza ivuta,shimba nilimhisi alipotua bongo,mida yake humu ilibadilika,wewe bado haijabadilika,muda si mrefu hapa utaaga kwenda kulala andaeitin banaLini mara ya mwisho ulikuwa Morogoro? Ni kweli, kuna baridi hapa Moro! Mabasi mbona mengi tu kutoka Dar? Uwe na weekend njema! Nafika hapo ulipo soon! [emoji23][emoji23]